KENYA CUP: KABRAS RFC WAMALIZA KILELENI
Klabu ya Kabras RFC ilidhihirisha ubabe wao katika mchezo wa raga nchini kwa kuandikisha ushindi wa 27-13 dhidi ya Menengai Oilers ugani ASK Grounds mjini Kakamega, na kumaliza kileleni mwa msimu kawaida katika ligi ya Kenya Cup. Ushindi huo uliwafikishia pointi 52 kileleni kutokana na mechi 11, pointi 2 mbele ya KCB RFC. Timu hizo […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































