VIHIGA QUEENS WAJIANDAA KUKABILI MADIRA SOCCER ASSASSINS
Mabingwa mara nne wa Ligi Kuu ya Soka ya Wanawake ya FKF, Vihiga Queens, wamejipanga vyema kuelekea mechi yao dhidi ya Madira Soccer Assassins itakayochezwa Jumamosi katika Shule ya Upili ya Nyang’ori, kaunti ya Vihiga, ligi hiyo ikirejea baada ya mapumziko ya wiki mbili. Mapumziko hayo yalitokana na kambi ya timu ya taifa ya wanawake […]
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































