GOR MAHIA YAPATA PIGO BAADA YA JERAHA LA OLUOCH
Klabu ya Gor Mahia imepata pigo kubwa baada ya mshambuliaji wake nyota Felix Oluoch kutolewa nje kwa muda mrefu kufuatia upasuaji wa goti Oluoch, anayeongoza orodha ya wafungaji wa klabu hiyo kwa mabao saba, anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa angalau miezi mitatu, hali itakayomweka mbali na kikosi hadi msimu ujao. Daktari wa timu, Brian Odongo, amethibitisha […]
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































