MIRADI ITAKAYOFADHILIWA NA HAZINA YA MIUNDOMBINU…
Bunge la kitaifa limefafanua miradi itakayofadhiliwa na hazina ya kitaifa ya miundombinu ya shilingi trilioni 5, likisema ni miradi mikuu kama vile barabara kuu za kitaifa, miundombinu ya reli, viwanja vya ndege, bandari, uzalishaji wa umeme na na usambazaji. Hii ni kufuatia kupitishwa kwa mswada wa hazina hiyo hapo jana baada ya marekebisho kadhaa, afisi […]
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































