KENYA KUTUNGA KANUNI MAALUM KUENDELEZA MIRADI YA NYUKLIA
Bunge la kitaifa litaidhinisha kanuni maalum ili kuhakikisha taifa linaendeleza mpango wake wa nishati ya nyuklia. Spika wa Bunge hilo, Moses Wetang’ula, amesema hayo wakati wa kikao na uongozi wa kampuni ya uzalishaji umeme ya Kenya, KenGen, na Shirika la Nishati ya Umeme wa Nyuklia, NuPEA kilichofanyika katika majengo ya Bunge. Mbali na Sheria ya Udhibiti wa Nyuklia iliyopo, kikao hicho […]
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































