#Local News

UBORA WA CBE WATILIWA SHAKA, WANAFUNZI WAASI MASOMO

Imebainika kuwa zaidi ya wanafunzi 151,000 waliofanya mtihani wa kwanza chini ya mtaala wa umilisi CBE waliachia njiani masomo yao ya sekondari msingi, idadi ambayo imeibua hofu kuhusiana na uwezo wa utekelezaji wa mtaala huo.

Kulingana na takwimu za baraza la mitihani ya kitaifa, KNEC, wengi wa wanafunzi waliokosa kukamilisha masomo yao ni wavulana, wasichana wakiwa takribani 50,000.

Hata hivyo, wizara ya elimu imetilia shaka ukweli wa takwimu hizo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *