SERIKALI YAHOFIA MAGENGE YA UHALIFU
Serikali imeibua hofu kuhusiana na kuchipuka kwa magenge ya uhalifu katika maeneo mbali mbali nchini, ikisema yamesababisha ongezeko la tishio la kiusalama. Akizungumza mbele ya bunge, Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen, amewashutumu baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa madai ya kupanga na kufadhili magenge hayo ili kuvuruga hafla za kisiasa za wapinzani wao. […]
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































