HAZINA YATAKA BUNGE KUFUNGUA FEDHA ZA UWEKEZAJI
Hazina ya Kitaifa imetetea hali ya uchumi wa Kenya na kutaka Bunge liende kwa kasi katika kuidhinisha vyombo muhimu vya kifedha vinavyokusudiwa kufungua fedha kuu za uwekezaji. Kupitia taarifa kwenye mtandao X hapo jana, Hazina imesema viashiria vya hivi karibuni vya uchumi vinaonyesha utulivu unaokua, hata wakati ambao wabunge wanajadili mwelekeo wa kifedha wa nchi. Ni swala ambalo liliibuka wakati wa mkutano […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































