8-4-4 GRADE 10? WALIMU WATISHIA

Baadhi ya walimu wakuu katika shule za upili nchini wametishia kuanza kuwafunza wanafunzi wa gredi ya 10 kutumia vitabu vya mtaala wa zamani 8-4-4 kutokana na ukosefu wa vitabu vya gredi hiyo iliyo chini ya mtaala wa umilisi CBE. Hii ni kutokana na hatua ya serikali kukosa kusambaza vitabu vya gredi hiyo hadi sasa, na […]

Insider Secrets to Kats’s Slot Collection and Loyalty Rewards

Insider Secrets to Kats’s Slot Collection and Loyalty Rewards Many players feel stuck when a casino’s slot library feels shallow. They want fresh titles, high‑paying jackpots, and a smooth play experience. Yet countless sites recycle the same old games, leaving players bored after a few sessions. This problem becomes worse when the casino’s loyalty program […]

LIVERPOOL WASAJILI JEREMY JACQUET

Liverpool wamefikia makubaliano ya kumleta Jeremy Jacquet kutoka Rennes kuanzia Juni 2026, katika ada ya pauni milioni 60 na nyongeza ya pauni milioni 10 baada ya mchezaji kukubali masharti ya kibinafsi. Jacquet, mmoja wa mabeki wa kati wenye vipaji vikubwa duniani, alikuwa pia akiangaliwa na Chelsea, ambao wanatarajia kumrejesha Mamadou Sarr klabuni. Hali hiyo inafungua mlango wa Aaron Anselmino kuhamia Strasbourg. Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

MWALALA AELEZA HUZUNI BAADA YA KUSHINDWA SHABANA

Kocha wa Bandari FC, Bernard Mwalala, alionekana mwenye kuchanganyikiwa baada ya timu yake kupoteza 1–0 ugenini dhidi ya Shabana FC, akilaumu uamuzi mbaya wa waamuzi na kupoteza umakini kwa kuishia kuvunja mfululizo wao wa mechi bila kipigo. Penalti yenye utata ya dakika ya 27 iliyofungwa na Brian Michira ndiyo iliyobaini mshindi wa mechi hiyo iliyoonekana […]

SHARKS WATOKA HATARINI FKF

Kocha wa Kariobangi Sharks William Muluya amesema ushindi wao wa bao 1–0 dhidi ya Ulinzi Stars ni afueni kubwa baada ya kipindi kigumu walichopitia wakisalia mkiani mwa jedwali la Ligi Kuu ya FKF. Ushindi huo umevunja mfululizo wa mechi tano bila ushindi kwa Sharks na kuwainua kutoka eneo la kushuka daraja. Bao pekee la mechi […]

TAHARUKI YAJITOKEZA CBD NAIROBI

Taharuki imeshuhudiwa katika eneo la biashara katikati ya jiji la Nairobi, CBD, baada ya polisi kuingilia kati maandamano ya wahudumu wa magari ya uchukuzi wa umma. Maafisa wa polisi wameonekana wakiondoa vizuizi barabarani na kung’oa nambari za magari ya matatu yaliyokuwa yameegeshwa katika barabara kuu, huku wakijaribu kurejesha hali ya kawaida ya usafiri jijini. Maandamano hayo […]

OBURU: ODM ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA UDA

Kiongozi wa chama cha ODM na Seneta wa Siaya Oburu Odinga amesema kuwa chama hicho kitaendelea kushirikiana na UDA, huku kikitarajia kuendeleza mazungumzo na serikali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza wakati wa hafla ya utoaji wa fedha za NYOTA jijini Kisumu Oburu amesifu uhusiano kati ya ODM na UDA ndani ya serikali jumuishi, akisema […]

OSOTSI ATAKA ODM ISIMAMISHE MGOMBEA 2027

Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi amekitaka chama cha ODM kusimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, akipinga vikali mapendekezo kwamba chama hicho kijiunge na kumuunga mkono Rais William Ruto. Akizungumza kuhusu mustakabali wa chama hicho baada ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wake wa muda mrefu Raila Odinga, Osotsi amesema ODM bado ni chama imara […]

MRADI WA NYOTA WAZINDULIWA KISUMU

Rais William Ruto ameongoza uzinduzi wa Mradi wa NYOTA jijini Kisumu, unaolenga kuwawezesha vijana kiuchumi kwa kuwapatia mtaji wa kuanzisha biashara ndogondogo. Chini ya mpango huo, vijana wanapokea ruzuku ya shilingi 25,000 kila mmoja kama mtaji wa kuanzisha au kupanua biashara zao, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kupunguza ukosefu wa ajira miongoni mwa […]

SALASYA AONDOLEWA MASHTAKA BAADA YA KUTII MAHAKAMA

Mahakama ya Milimani jijini Nairobi imemwondolea kesi ya uchochezi mbunge wa Mumias East Peter Salasya baada ya mbunge huyo kutii maagizo ya mahakama yaliyomtaka afanye kampeni za kuhubiri amani kote nchini. Akitoa uamuzi huo, hakimu Paul Mutai, ameamuru kwamba Salasya amewafikia zaidi ya watu 1,000 kwenye kampeni hizo, ikiwemo mipango ya kampeni inayoendelea kwenye mitandao […]