NDETI AWATAKA WAKAZI KUTAHADHARI MAPEMA
Huku mvua kubwa ikibashiriwa kuendelea nchini, wakazi wa kaunti ya Machakos wametakiwa kuwa makini na kuhamia maeneo yaliyo salama ili kuepusha majanga yanayoweza kusababishwa na mafuriko.
Gavana wa kaunti hiyo Wavinya Ndeti, amesisitza haja ya wakazi kujihakikishia usalama kwa kuchukua tahadhari ya mapema.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 







































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































