KENYA POLICE BULLETS WAMSAJILI TEREZA ENGESHA
Mabingwa wa ligi ya wanawake Kenya Police Bullets wamefanya usajili mkubwa kwa kumsajili mshambuliaji wa Harambee Starlets, Tereza Engesha, kabla ya hatua muhimu ya msimu. Engesha ana rekodi ya kipekee, akiwa mwanamke wa kwanza wa Kenya kushinda taji la Ligi ya Mabingwa ya bara Asia akiwa na Wuhan Jiangda ya China mwaka 2025, baada ya ushindi wa […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































