#Local News

MUDAVADI AONGOZA KAMATI KUJADILI HALI YA WAKENYA WANAOISHI UGHAIBUNI

Mkuu  wa mawaziri nchini  Musalia Mudavadi pamoja na mawaziri Kipchumba Murkomen na Alfred Mutua wamekutana hii leo na kamati ya leba ya mawaziri  kujadili ustawi wa Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nje ya nchi.

Kikao hicho kimelenga kupokea maelezo kuhusu hali ya usalama, ulinzi wa haki za wafanyakazi na changamoto zinazowakumba raia wa Kenya ughaibuni.

Miongoni mwa masuala yanayoangaziwa ni huduma za ubalozi, mikakati ya serikali ya kushughulikia dharura zinazowahusu Wakenya walioko nje ya nchi.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *