KESI YA GACHAGUA KUNG’ATULIWA YAENDELEA
Mawakili wa kumuakilisha aliyekuwa Naib Rais Rigadhi Gachagua wamewasilisha maombi kadhaa katika vikao vya kusikiza kesi ya kumfurusha afisini vinavyoendelea katika mahaka ya milimani.
Gachagua kupitia mawakili wake amewasilisha vipengee saba anavyotaka viangaliwe kwa ufasaha mahakamani na kusema kuwa kung’atuliwa kwake mamlakani hakukushirikisha umma ipasavyo.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 




















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































