#Local News

DUALE ATISHIA KUWASHTAKI WANAOSEMA KENYA INAUZA DAMU

Waziri wa afya Aden Duale sasa ametishia kuwachukulia hatua za kisheria watu walioibua madai kwamba Kenya inauza damu iliyochangwa na wakenya katika mataifa ya kigeni kinyume na sheria.

Kulingana na Duale, ripoti za Kenya kuuza damu zilitokana na tafsiri potovu za takwimu za biashara, zilizochapishwa kwenye jukwaa la World Integrated Trade Solutions, akisema bidhaa nyingi zilizo kwenye jukwaa hilo zinamilikiwa na kampuni za kigeni ambazo hutumia Kenya kama kituo cha kusambaza bidhaa za dawa.

Amejitetea akiwa mbele ya kamati ya bunge kuhusu afya.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

DUALE ATISHIA KUWASHTAKI WANAOSEMA KENYA INAUZA DAMU

SHA YATIKISWA, TENA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *