#Football #Sports

DE ZERBI: HATUJALI KUSHINDA DHIDI YA VILLA ILIYODHOOFIKA

Kocha wa Tottenham Hotspur Roberto De Zerbi amesema hana tatizo lolote na ushindi walioupata dhidi ya Aston Villa licha ya kikosi cha wapinzani hao kuwa na mabadiliko makubwa.

Tottenham walishinda mabao 2–1 katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza, huku Villa wakifanya mabadiliko ya wachezaji wao muhimu ili kujiandaa na mechi za michuano ya Ulaya.

De Zerbi amesema Tottenham pia wamekumbwa na majeraha mengi msimu huu, hivyo mabadiliko ya Villa hayabadili uhalali wa ushindi wao katika pambano hilo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *