KAHATA AAMINI ATAISAIDIA KCB KUSAKA UBINGWA
Kiungo mzoefu Francis Kahata amesema bado ana mengi ya kutoa katika soka la kiwango cha juu na ana imani kubwa kuwa ataichangia KCB FC kupigania nafasi nzuri, ikiwemo mbio za ubingwa wa FKF Premier League msimu huu. Kahata, mchezaji wa kimataifa wa Harambee Stars, alijiunga na KCB wakati wa dirisha la usajili wa katikati ya […]
English 


















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































