MAKUNDI YA WANAWAKE WAMTAKA KAREN NYAMU KUJIUZULU
Makundi ya wanawake yakiongozwa na aliyekuwa seneta maalum Gloria Owuoba sasa yanamtaka seneta Karen Nyamu kujiuzulu kutokana na matamshi yake yaliyomdhalilisha mwanafunzi wa gredi ya 10 aliyekuwa amezuru bunge la seneti kwa shugli ya masomo.
Wanawake hao wanasema Karen Nyamu amekosa heshima kwa wanawake.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 





































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































