NG’ETICH NA EBENYO KUONGOZA SIRIKWA CLASSIC
Bingwa wa Dunia wa mbio za nyika, Agnes Ng’etich, na mshindi wa nishani ya fedha ya mita 10,000 kwenye Mashindano ya Dunia 2023, Daniel Ebenyo, wataongoza toleo la tano la Sirikwa Classic Cross Country Tour litakalofanyika Jumamosi, Februari 14 mwaka huu mjini Eldoret Nyota hao wawili wanatarajiwa kushiriki wakiwa bado kwenye kiwango bora kufuatia maonyesho yao […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































