VIFO VYA ZAIDI YA 290 VIMERIPOTIWA JANUARI 2026, TAKWIMU ZA POLISI
Zaidi ya watu 290 wamefariki katika siku 21 za mwanzo wa Januari 2026, kulingana na takwimu zilizokusanywa na polisi. Hapo jana watu saba waliuawa katika ajali tofauti nchini, na kuongeza idadi ya vifo hadi 294 katika siku 21 miongoni mwao wakiwa ni Pamoja na watembea miguu wawili, abiria wawili, waendesha pikipiki wawili, na abiria wa pikipiki mmoja. Polisi wamesema […]
English 


































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































