RAIS RUTO AELEZA UMUHIMU WA CBE NCHINI
Rais William Ruto ameelezea kujitolea kwa serikali katika kuimarisha miundimisingi kwenye taasisi ya elimu ili kupiga jeki shughli za masomo.
Akizungumza wakati wa kongamano la Africa Forward summit Ruto ameeleza kuwa mfumo wa sasa wa masomo CBE unalenga kuhakikisha wanafunzi wanapata ujuzi wa kutoshawanapotafuta ajira.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 
























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































