#Local News

AYUB SAVULA AMSUTA GACHAGUA

Naibu Gavana wa kaunti ya  kakamega Ayub Savula amemuonya kiongozi wa chama cha DCP  Rigadhi Gachagua dhidi ya kumshambulia katibu mkuu wa  COTU Francis Atwoli.

Savula anasema kuwa matamshi ya Rigadhi dhidi ya Atwoli yanamkosea heshima kiongozi huyo ambaye anashikilia nafasi ya viongozi maarufu katoka jamii ya mulembe.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *