ANTONIO GUTERES AWATAKA VIONGOZI WA AFRIKA KUBUNI NJIA ZA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOKUMBA DUNIA
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guteres ametoa wito kwa viongozi wa Afrika kuwa mstari wa mbele katika kutafuta suluhisho kwa changamoto zinazokumba dunia ikiwemo mabadiliko ya tabia nchi.
Akihutubu katika kongamano linaloendelea la Africa Forward Summit, Guters amepigia debe haja ya sauti ya Afrika kuzingatiwa katika maamuzi muhimu duniani.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































