KENYA YAANZISHA JUHUDI ZA KUMPIGIA DEBE JAJI NDUNG’U
Serikali ya Kenya imezindua rasmi juhudi za kumtafutia uungwaji mkono Jaji wa Mahakama ya upeo Njoki Ndung’u katika azma yake ya kuwania nafasi katika mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu, ICC.
Rais William Ruto ameagiza Wizara ya masuala ya kigeni kuanzisha kampeni ya kimataifa ya kuhakikisha Kenya inapata nafasi hiyo ya uwakilishi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































