#Local News

MAKUNDI YA WANAWAKE WAMTAKA KAREN NYAMU KUJIUZULU

Makundi  ya wanawake yakiongozwa na aliyekuwa seneta maalum Gloria Owuoba sasa yanamtaka seneta Karen Nyamu kujiuzulu kutokana na matamshi yake yaliyomdhalilisha  mwanafunzi wa gredi ya 10 aliyekuwa amezuru bunge la seneti kwa shugli ya masomo.

Wanawake hao wanasema Karen Nyamu amekosa heshima kwa wanawake.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

MAKUNDI YA WANAWAKE WAMTAKA KAREN NYAMU KUJIUZULU

AYUB SAVULA AMSUTA GACHAGUA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *