#Local News

KENYA YAANZISHA JUHUDI ZA KUMPIGIA DEBE JAJI NDUNG’U

Serikali ya Kenya imezindua rasmi juhudi za kumtafutia uungwaji mkono Jaji wa Mahakama ya upeo Njoki Ndung’u katika azma yake ya kuwania nafasi katika mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu, ICC.

Rais William Ruto ameagiza Wizara ya masuala ya kigeni kuanzisha kampeni ya kimataifa ya kuhakikisha Kenya inapata nafasi hiyo ya uwakilishi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *