#Local News

MURKOMEN AWATAKA VIONGOZI KUSHIRIKIANA NA POLISI  WAKATI WA SIASA

Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, amewataka viongozi wa kisiasa nchini kuwa huru kuwasiliana na idara ya polisi kuhusu ratiba ya mikutano yao ili kuhakikishiwa usalama wakati wa mikutano hiyo.

Akizungumza kwenye kikao cha mashauriano na tume ya IEBC kuhusiana na maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao, Murkomen amesisitiza kuwa suala la usalama ni jukumu la wadau wote wakiwemo viongozi wa upinzani.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *