TUACHE KUPINGA MSWADA 2024-2025
Mwenyekiti wa kamati ya fedha katika bunge la kitaifa Kimani Kuria ambaye pia ni mbunge wa Molo amewasuta wanaopinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024-2025 akisema kuwa kupitia mswada huo serikali itaongeza mapato ya taifaMbunge wa kimilili Didmus Barasa kwa upande amesisitiza kauli ya Kuria akisema kuwa serikali ya kenya kwanza haijambagua mkenya yeyote hivyo mswada huo haufai kupingwa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































