#Local News

VIJANA WAWILI WAUWAWA NA POLISI BUSIA

Shuguli za uchukuzi zimerejea  katika maeneo mbalimbali nchini baada ya wahuduma wa sekta za umma kusitisha mgomo wao uliokuwa umeathiri huduma  za usafiri na shuguli  za biashara.

Huku haya yakijiri familia mbili katika kaunti ya Busia zinawaomboleza wanao wawili walioaga dunia hapo jana na maafisa wa polisi wakati wa madaandamano ya kupinga kuongezwa kwa bei ya mafuta nchini.

Inaripotiwa kuwa wawili hao walikuwa wakitoka eneo la marachi wakishiriki maandamano  yaliyokuwa yakidai kuachiliwa kwa kiongozi wa vijana Edwini Wepukhulu aliyekamatwa kwa madai ya kuaribu gari  la polisi katika kizuizi cha Korinda, wakati walikumbana na kifo chao.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *