#Local News

JUBILEE YAMTETEA UHURU KENYATTA KUHUSIANA NA MAANDAMANO

Chama cha Jubilee kimekosoa matamshi ya viongozi wa UDA kwa madai ya kumhusisha rais mstaafu Uhuru Kenyatta na maandamano ya kupinga bei ya mafuta nchini.

Chama hicho kimetaka heshima itolewe kwa rais huyo mstaafu huku kikisisitiza kuwa siasa za lawama hazitasaidia taifa.

Naibu kiongozi wa Jubilee Fred Matiang’i amesema viongozi wanapaswa kuacha kulaumiana na badala yake kujikita katika masuala yanayowahusu wananchi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

JUBILEE YAMTETEA UHURU KENYATTA KUHUSIANA NA MAANDAMANO

RUTO KUREJEA NCHINI LEO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *