AUSTIN ODHIAMBO AAMINI HARAMBEE STARS WAKO TAYARI
Kiungo Austin Odhiambo amesema Harambee Stars iko tayari kukabiliana na mataifa makubwa barani Afrika katika kufuzu kwa AFCON 2027.
Kenya imepangwa kundi moja na Afrika Kusini , Guinea pamoja na Eritrea katika kundi linalotajwa kuwa gumu.
Licha ya Kenya kufuzu moja kwa moja kama mwenyeji pamoja na Uganda na Tanzania, timu hiyo itashiriki mechi za kufuzu ili kujiweka tayari kwa michuano hiyo.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































