#Football #Sports

ASTON VILLA WATWAA UBINGWA WA EUROPA LEAGUE

Aston Villa wamehitimisha ukame wa mataji wa miaka 30 baada ya kuichapa SC Freiburg mabao 3-0 katika fainali ya UEFA Europa League Final iliyochezwa mjini Istanbul.

Mabao ya Youri Tielemans, Emiliano Buendia na Morgan Rogers yaliihakikishia timu hiyo ushindi mkubwa dhidi ya Freiburg.

Huu ni ubingwa wao wa kwanza mkubwa barani Ulaya baada ya miaka 44 na taji lao la kwanza tangu Kombe la Ligi mwaka 1996 chini ya kocha Unai Emery.

Imetayarishwa na Cyrus SIfuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *