#Local News

SERIKALI YAJITETEA KUWAKINGA WAKENYA NA MAKALI YA BEI ZA MAFUTA

Ruto anasema kutokana na kuendelea  kuongeza kwa bei za mafuta duniani serikali yake imetumia takribani shilingi bilioni kumi na tatu za hazina ya maendeleo ya mafuta kuwakinga wakenya na gharama hizo huku akiongeza kwamba serikali yake imepunguza kodi ya thamani ya ziada kutoka asilimia kumi na sita hadi asilimia nane akisema katika mwezi wa Aprili na May pekee serikali ilitumia shilingi bilioni nyingine  15 nukta mbili katika juhudi za kuwakinga vilevile.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *