#Football #Sports

ARTETA AELEZA FURAHA YA KUTWAA UBINGWA

Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amesema kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England ni moja ya hisia bora kuwahi kupata maishani mwake.

Arteta amesema hakuweza kutazama mechi ya Manchester City lakini alikuwa akisikia kelele kutoka ndani kabla mwanawe kufungua mlango na kumkimbilia huku akilia.

Kocha huyo amesema mwanawe alimwambia kuwa Arsenal wametwaa ubingwa wa EPL kauli iliyogusa wengi baada ya Arsenal kutwaa ubingwa huo baada ya miaka 22.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *