RAIS RUTO AONGOZA HAFLA YA KUGAWANYA HATI MILIKI ZA ARDHI MOMBASA
Rais William Ruto amekitaja kifo cha mwanamziki wa injili Rechael Wandeto kuwa kilichangiwa na siasa za ukabila na chuki nchini.
Akizungumza katika kaunti ya Mombasa wakati wa kugawanya hati miliki za ardhi Ruto amekosoa upinzani kwa kuendeleza siasa ambazo amesema zinachangia migawanyiko na chuki niongoni mwa wakenya akisema wote waliohusika kwa mauaji ya Wandeto watakabidhiwa vikali kisheria akiwataka wakenya kujiepusha na siasa aina hiyo nchini.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































