#Local News

VIONGOZI WA KENYA KWANZA WAONYESHA IMANI KWA RUTO 2027

Baadhi ya viongozi wa Muungano wa Kenya Kwanza wameeleza imani kuwa Rais William Ruto atapata muhula wa pili kutokana na rekodi yake ya maendeleo na juhudi za kuunganisha taifa.

Wakizungumza katika eneo bunge la Turbo, Viongozi hao Wamedai kuwa viongozi wa upinzani wanaendeleza siasa za mgawanyiko badala ya kuangazia maendeleo ya wananchi.

Aidha wamemtetea Rais kuhusiana na swala zima la mafuta nchini wakisema kuwa ni tatizo la dunia zima wala si la taifa hili pekee.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *