CARRICK AONA NAFASI YA TATU KAMA MWANZO MPYA UNITED
Kocha wa Manchester United Michael Carrick amesema kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya uingereeza ni msingi mzuri wa kujenga mafanikio ya baadaye.
Carrick alitoa kauli hiyo baada ya United kuhitimisha msimu kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion.
Kocha huyo alithibitishwa rasmi kupewa kandarasi ya miaka miwili baada ya kuboresha kiwango cha timu tangu aichukue kufuatia kuondoka kwa Ruben Amorim mwezi Januari.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































