ARTETA SASA ALENGA UBINGWA WA ULAYA
Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amesema sasa analenga kutwaa ubingwa wa UEFA Champions League baada ya kushinda Ligi Kuu ya uiingereza.
Arteta alisema hayo baada ya Arsenal kusherehekea ubingwa kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace katika mechi ya mwisho ya msimu.
Mabao ya Gabriel Jesus na Noni Madueke yaliihakikishia Arsenal kumaliza msimu ikiwa mbele ya Manchester City kwa tofauti ya alama saba.
Imetayarishwa na Cyrus Sifuna
English 































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































