#Football #Sports

CARRICK AONA NAFASI YA TATU KAMA MWANZO MPYA UNITED

Kocha wa Manchester United Michael Carrick amesema kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya uingereeza ni msingi mzuri wa kujenga mafanikio ya baadaye.

Carrick alitoa kauli hiyo baada ya United kuhitimisha msimu kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion.

Kocha huyo alithibitishwa rasmi kupewa kandarasi ya miaka miwili baada ya kuboresha kiwango cha timu tangu aichukue kufuatia kuondoka kwa Ruben Amorim mwezi Januari.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *