#Local News

RAIS MUSTAAFU UHURU AONGOZA HAFLA YA CHAMA CHA JUBILLEE

Rais mustaafu Uhuru Kenyatta anaongoza mkutano wa wajumbe wa chama cha Jubilee katika kaunti ya Kiambu.

Akizungumza kwenye hafla hiyo Uhuru amewashtumu wandani wa Rais William Ruto wanaomtaka astaafu katika ulingo wa siasa.

Kulingana na Uhuru  tangu alipostaafu uongozini  mwaka wa 2022 chama chake kimekua kikikabiliwa na misukosuko akiapa kukiimarisha chama hicho.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *