#Local News

MBADI  AWATAKA VIONGOZI WA UPINZANI KUSOMA NA KUUELEWA MSWADA WA FEDHA

Waziri wa fedha John Mbadi amewasuta vikali viongozi wa upinzani kwa madai ya kuwapotosha wakenya kuhusu mswada wa fedha wa 2026-2027.

Akizungumza katika vikao na wanahabari jijini Nairobi, Waziri Mbadi amewataka viongozi haswa kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka  kukoma kuupotosha umma kuhusu baadhi ya vipengee vilivyomo ndani ya mswada huo.

Imetayarishwa na Hilda Ajema

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *