DCI WAPATA MWILI WA MWANAFUNZI ALIYETOWEKA KISUMU
Makachero wa idara ya upelelezi, DCI wamemkamata mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 21 wa chuo kimoja jijini Kisumu.
Makachero hao wanaamini kuwa Coleman Okoth ndiye aliyepanga ubakaji wa zamu, kuteswa na kisha kutoweka kwa mpenzi wake huyo wa zamani ambaye mwili wake uliokuwa umeharibi8ka umetikana katika msitu wa RIAT kaunti ya Kisumu.
Kulingana na DCI, walianzisha uchunguzi punde baada ya mwathiriwa kuripotiwa kutoweka, wakiamini aliuawa usiku wa tarehe 5 mwezi huu.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































