MBADI AWATAKA VIONGOZI WA UPINZANI KUSOMA NA KUUELEWA MSWADA WA FEDHA
Waziri wa fedha John Mbadi amewasuta vikali viongozi wa upinzani kwa madai ya kuwapotosha wakenya kuhusu mswada wa fedha wa 2026-2027.
Akizungumza katika vikao na wanahabari jijini Nairobi, Waziri Mbadi amewataka viongozi haswa kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kukoma kuupotosha umma kuhusu baadhi ya vipengee vilivyomo ndani ya mswada huo.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































