SYCHELLES YAJITOZA KWENYE KINYANGANYIRO CHA AU

Taifa la ushelisheli limekuwa taifa la hivi punde kujitoza katika kinyanganyiro cha wadhifa wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa jumuiya ya Afrika.
Ushelisheli imemuidhinisha aliyekuwa makamo wa rais Vincent Meriton kumenyana na watu wengine watatu akiwemo raila Odinga wa Kenya aliyekuwa Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Somalia yusuff Adam na mwenzake wa Djibout Mahamud Ali Yussuf.
Atakayechaguliwa atachukua nafasi ya Moussa Faki ambaye muda wake wa kujhudumu umekamilika.
Imetayarishwa na: Janice Marete
English 

















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































