#Business #Local News

KAUNTI KAME ZAPINGA GACHAGUA, KARUA

Viongozi kutoka kaunti kame 15 hapa nchini wamejitokeza kupinga pendekezo la Naibu Rais Rigathi Gachagua na kiongozi wa Narc Kenya Martha Karua linalotaka ugavi wa raslimali za nchi ufainyike kwa misingi ya idadi ya watu katika kila eneo.

Wakiongozwa na spika wa zamani wa seneti Ekwe Ethuro, viongozi hao wamesema mfumo unaopendekezwa ni wa kibaguzi, wakitaka mfumo wa sasa wa raslimali kutolewa kulingana na ukubwa wa eneo kusalia.

Imetayarishwa na: Antony Nyongesa

UMMA WAJERUHI POLISI NYAMIRA

GACHAGUA AAPA KUUNGANISHA MLIMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *