MASHIRIKA YA KIJAMII YALITAKA BUNGE LA KITAIFA KUPITISHA MSWADA WA MGAO WA FEDHA KWA KAUNTI
Muungano wa mashirika ya kijamii eneo la pwani umeitaka bunge la Kitaifa na lile la seneti kuharakisha mchakato wa kupitisha mswada wa mgao wa fgedha klwa kaunti 2024.
Mwenyekiti wa muungano huo Zedekiah Adika amesema kuwa kucheleweshwa kupitishwa kwa muswada huo kum etatiza kuendelezwsa kwa shughuli mbali mbali za ugatuzi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































