#Local News

VIONGOZI WA UASIN GISHU WATAKA ULINZI WA RAIS UIMARISHWE

Baadhi ya viongozi kutoka Kaunti ya Uasin Gishu wamekosoa hitilafu ya kiusalama iliyotokea wakati wa ziara ya Rais William Ruto katika Kaunti ya Kilifi.

Viongozi hao wakiongozwa na Gavana wa Kaunti hiyo Jonathan Bii wametaka hatua zaidi kuchukuliwa kuimarisha usalama wa mkuu wa nchi.

Wamesema ni muhimu kuhakikisha matukio kama hayo hayajirudii tena siku zijazo.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *