ANGUSHA MSWADA MALIZA WALIMU WA JSS
Mwenyekiti wa kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa Ndindi Nyoro amelitaka bunge kuwazia upya marekebisho yaliyopendekezwa na kamati ya fedha katika mswada wa fedha.
Kwa mujibu wa Nyoro baadhi ya idara zitaadhiriwa iwapo baadhi ya mapendekezo yataondolewa au kupunguza ambapo amepeana mfano na fedha zilizotengwa kuwaajiri walimu elfu 46 wa sekondari ya msingi JSS na vile vile fedha zilizotengewa maeneo bunge NGCDF.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































