#Sports

RAIS WA CAF AFANYA ZIARA SENEGAL

Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amefanya ziara nchini Senegal takriban mwezi mmoja baada ya uamuzi wa kustaajabisha wa kuondoa Senegal kutoka ubingwa wa AFCON na kuutumia Morocco.

Motsepe alitangaza safari hiyo mwishoni mwa Machi akisema atatembelea Senegal na Morocco ili kusisitiza umuhimu wa “kushirikiana kukuza soka barani Afrika,” huku shirikisho lake likikabiliwa na ukosoaji mkubwa.

Rais Bassirou Diomaye Faye atakutana na Motsepe katika Ikulu ya Rais, huku mkutano na waandishi wa habari ukifuata.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

RAIS WA CAF AFANYA ZIARA SENEGAL

KAGWE ATOA HAKIKISHO LA MBEGU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *