MUSALIA AONYA WAKENYA KUHUSU EBOLA
Waziri mkuu Musalia Mudavadi amewataka wakenya kufuata maagizo yanayotolewa na wizara ya Afya kufuatia mulipuko wa ugonjwa wa Ebola ulioripotiwa katika mataifa jirani ya Uganda na Demokrasia ya Congo DRC.
Akizungumza katika kaunti ya Morang’a Mudavadi amesema japo kenya haijaripoti kisa chochote cha Ebola uzembe unaweza kuhatarisha taifa hivyo wananch wanapaswa kujitahadhari katika muingiliano wa kijamii kwa kuzingatia usafi.
Imetayarishw na Hilda Ajema
English 































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































