MBAYA KIMWELE AJENGA MABWAWA YA MAJI KWA WAFUGAJI KITUI
Kitui imetajwa kuongoza nchini katika ufugaji wa mbuzi aina ya Gala kulingana na Waziri wa kilimo wa kaunti hiyo Mbaya Kimwele.
Wizara hiyo inaendelea kuchimba mabwawa ya maji katika maeneo yanyojulikana kwenye ufugaji ili kuimarisha shughuli hiyo katika maeneo kame.
Akizungumza alipokuwa akizindua ujenzi wa bwawa la Kasiatu huko Treikuru Mwingi Kaskazini Mbaya amesema mabwawa zaidi yanaendelea kujengwa katika maeneo maarufu kwa ufugaji.
Imetayarishwa na Hilda Ajema
English 

































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































